Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Awali ya yote Napenda kuwapa pole na majukumu yenu ya kutwa nzima katika kujenga taifa hili la Tanzania . Nimeleta Uzi huu hapa mahsusi kwa ajili ya kuleta changamoto katika sekta ya afya na...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Nawashangaa sana watu wanaowaandama polisi kwa kuchapa kazi ipasavyo. Hali huko Rufiji, Kibiti, Mchukwi na Pwani kwa ujumla si nzuri hata kidogo. Hili suala si la vyama ni la kitaifa kabisa...
1 Reactions
3 Replies
722 Views
Mchinga na Akundo bendi zilizovuma sana zilimilikiwa na watu ambao walikuwa mawaziri zimekufa kifo cha mende mara tu baada ya wamiliki kutemwa uwaziri,ina maana vyeo vyao ndio vilikuwa...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari zenu ndugu zangu! "Changamoto zinapozidi fursa zinaongezeka" Nianze Kwa tafakari " je, unatambua ipo siku utakufa?, je, unatambua utachimbiwa shimo na ufukiwe Kwa mchanga? Unatambua ni...
4 Reactions
75 Replies
7K Views
Hello JF, leo ningependa kutoa wazo kwa mtu yeyote afungue NGO ya kuelimisha jamii kutumia kompyuta. ingependeza kuwe na computer centres kwa ajili ya wanafunzi hasa wa kidato cha sita na...
0 Reactions
10 Replies
996 Views
Moja ya matukio yaliyoshika headline hapa bongo ni pamoja na bongo movie kudorora baada ya marehemu Kanumba kuaga dunia twende pamoja. 1. Actors/actresses wamejikita zaidi kwenye ngono wakati...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF, Mimi jana nifika katika ofisi za PPF kuuliza chochote baada ya kupata tetesi kuwa wameaza kutoa lile fao la kujitoa, ambalo mwanzoni kabisa walisema hawatatoa mpaka ufikishe miaka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu salamu, Kuna tetesi zimeenea ya kwamba PPF wameanza kutoa fao la kujitoa, je? Kuna ukweli wowote katika hilo wakuu? Maana nilipoona nimedhulumiwa nikaamua kuondoka na kwenda zangu Kenya...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Jamani nimefuatilia mafao yangu PPF hivi sasa ni miezi 8 lakini kila ukifika ofisini kwao wanapiga tarehe wanakwambia njoo mwez ujao bado serekal inashughulikia hizo pesa. Ukiuliza kwanini...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ya weekend jamani. Nadhani mada yangu ilishaeleweka kupitia swali hilo. Tumekuwa tukiskia mara nyingi viongozi wakubwa,baadhi ya watu wakijitetea kuwa hali ngumu ya maisha ipokwa wale tu...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Habari, kumekua na malalamiko kwamba wakazi walio karibu na hifadhi/mapori wanavamiwa marakwamara na wanyama tembo. Ifuatayo ni njia rahisi zaidi kuwafukuza tembo kukukaribia! Kwa kawaida mnyama...
4 Reactions
2 Replies
3K Views
Nashindwa kuielewa Serikali katika swala la kuwapangia shule wanafunzi wanaotarajia kujiunga na kidato cha tano. Madogo wana-loose tu mtaani huku. Mtoto amemaliza mtihani wa kidato cha nne mwaka...
1 Reactions
1 Replies
654 Views
Poleni na majukumu wana jf Tangu serikari izuie swala la huamisho wa watumishi kumekuwa na wakati mgumu sana kwa watumishi walio funga ndoa,ndoa nyingi zimepoteza muelekeo,si zani kama serikali...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa hapa TZ ni mwandishi gani unaweza kumfananisha na mwandishi wa Kenya Mohamed Ali.. wa jicho pevu.... Katika utoaji wa habari kwa wananchi...bila woga au kupendelea upande wowote.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakazi wa tarafa ya Wangingo’mbe mkoani Njombe wako hataraini kukumbwa na baa la njaa kutokana na eneo la tarafa hiyo mvua kukatika kabla ya mazao yao kukomaa kutokana na uharibifu wa mazingira...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
inasikitisha mno licha ya hali ngumu ya maisha inayowakabili watanzania wengi leo watanzania wanaoelekea kilimanjaro wamelipa 80000 kupata tiketi za bus huku ticketi zao zikiandikwa 23000 hata...
25 Reactions
145 Replies
14K Views
Polisi nchini Kenya wanawashikilia Watanzania 6 kwa tuhuma za ugaidi. Wamekamatwa Garisa na inasemekana walikuwa wakielekea Somalia Kujiunga na magaidi wa Al Shabab. Wameshikwa wakiwana silaha...
0 Reactions
88 Replies
14K Views
Tarehe kumi na tatu ya mwezi huu nilinunua kifurushi cha mb cha shilingi elfu tano kupitia account yangu ya Tigo pesa, lakini hakijafika kifurushi na pesa yangu mmechukua. Nikaona rabda kitakuja...
0 Reactions
4 Replies
782 Views
Kwa takribani mwaka mzima uhamisho kwa watumishi wa umma umezuiliwa. Kwa kuwa haijulikani ni lini utaruhusiwa, mimi nashauri ni bora kwa wale walioomba kuhama kwa sababu za kiafya wakahamishwa tu...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…