mkamandume
Senior Member
- Dec 31, 2016
- 116
- 120
Inavyosemekana kuna binadamu mwenye jinsia mbili a.k.a shemale kwa kizungu kama sijakosea. Ameonekana huko Zenji bar maeneo ya Chukwani.
Anajifanya kuomba kazi za ndani na akikubaliwa huanza kufanya mchezo mchafu wa kuwanajisi watoto wa bosi aliyemuajiri. Kibaya zaidi inasemekana ni VVU positive.
So, tuwe makini nae anaweza vuka maji akaja bara kwani hakuna umbali wowote ni mwendo wa masaa mawili tu. Pia natoa tahadhari kwa wale jamaa zangu wa kupenda mabinti, ukikutana nae utastaajabu ya firauni.