cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 651
Habari,hii namba naina sana kwenye post za Radio BBC Uingereza lakini nikipiga anapokea mtu mwingine nakusema siyo ya radio bbc,je huyu mtu ni tapeli au vipi?kama anasoma hapa aache ujinga huo asitumie jina la radio husika,na je radio bbc dsm hamjagundua hilo?shiiit!