cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 651
Nimeamini ulinzi ni wako mwenyewe,mtu kaiibiwa watu waliokuwa zamu ya ulinzi shirikishi wapo,polisi wanauliza 'je unamjua mwizi wako?' kama hujakamata mwizi basi utasubiri upelelezi hadi basi, sasa kama kuna mtu anamfahamu mganga kweli anisaidie kwani nimeibiwa vibaya sana ,ila ntamlipa baada ya kumpata mwizi wangu!!!