Nilipata sikia kwamba katika awamu za mwanzo hizo(hope sikuwa nimezaliwa tiyari) shirika letu la ndege lilikuwa na ndege nyingi zikiwemo BOENG kadhaa, hivi hii ni kweli? Na kama ni kweli hizi ndege ziko wapi kwa sasa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.