Tuombee amani tanzania ila si kwa haya yanayoendelea,

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
3,245
4,405
Naumia sana nikiona kitu nisichokitarajia ndiyo kinatokea katika ardhi hii mama.
Eti wanatoa mapanga huku wanahubir amani hivi kuna amani kweli wakati wananchi kila siku wanalalamika uvamizi kila maeneo.
Inatakiwa sisi kama wananchi tutambue upi uhuru wetu then viongozi watajua wajibu wao binadamu hawezi kuishi kama mbuzi mda wowote anahofia kuuwa.
Ardhi ni yetu sote kuchagua hata mimi nimechagua ila kuchagua kwangu isiwakosti watu kwa kufanyiwa vitendi visivyo vya kiungwana.
Matukio yanayoendelea ni moja ya viashiria vya uvunjifu wa amani kwani kuna wezekana kukazuka makundi tofauti ambayo yataharibu amani tulionayo kwa makosa madogo ambayo yapo hivi sasa.
Upinzani si uadui muhimu ni kutekeleza wanachokitaka agharabu si vyote kwani itakayosifiwa kwa utendaji ni serikali.
Muhimu kutoa uhuru kwa kila raia wa tanzania
# tunaomba_ibakie_kwani_ndiyo_tu
nu_yetu_ #
Mungu ibariki tanzania mungu bariki uongozi wetu.
Mimi tanzania tanzania ni mimi kulinda amani ni wajibu.
 
Tanzania iko mwishoni kabisa kuisha kwa amani yetu
 
Mungu ibariki tanzania mungu bariki wananchi wa tanzania.
Mimi tanzania tanzania ni mimi kulinda amani ni wajibu.
 
Nimeumia sana yule mwandishi wa habar anavoongea yaan mpk kufikia hatua hii inainesha kua kuna mambo mengine mabaya mbeleni yanakuja.
 
Back
Top Bottom