Wizi wa karne Paraguay: Zaidi ya Bilioni 90 (40$ M) zaporwa kibabe na majambazi 50 mchana kweupe

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,094
7,226
Katika Tuko la wizi ambalo limetokea 25 April 2017, huko nchini Paraguay katika mpaka wake na nchi za Argentina na Brazil , kwa kikundi cha majambazi wapatao 50 kuamua kuvamia gari la kutunzia la kusafirishia fedha na kufanikiwa kupora zaidi ya Bilioni 90 mchana kweupeee na kisha kusepa Pasi na mamlaka husika kujua wapi yametorekea majambazi husika kati ya Brazil , Argentina au yamezamia huko huko Paraguay.

Kulingana na namna hao majambazi walivyokuwa wako "full mass in order" maarufu kama kuwa (full masnonda) ,

Na walifanikiwa kulipua chemba "vaults" za kutunzia fedha kwa miripuko mikubwa na kufanikiwa kutimka na Kiasi hicho cha fedha huku kati yao majambazi 3 yakiuawa eneo la tukio na mengine 4 kudakwa ila majambazi yaliyosalia yalifanikiwa kusepa katika mazingira ya kutatanisha na Kiasi hicho cha fedha na kutokomea kusiko julikana .

Mpaka sasa misako ya polisi wakiwa na helkopta , boti za mwendo kasi na nyenzo nyingine muhimu za ulinzi wanaendesha msako mkali sana kwa nchi zote mbili .

Ingawa utata umezidishwa na kudhaniwa kuwa wapiga tukio hilo wanaweza kuwa magenge yaliyokubuhu kwa Biashara ya mihadarati ya madawa ya kulevya yaliyojichimbia mizizi huko Brazil na Paraguay .

Polisi wa mpakani mwaka Paraguay na Brazil walikuwa na kazi pevu kutokana na show ya kibabe iliyokuwa ikipigwa na majambazi hao, kwani mamlaka wamesema kuwa tukio hilo nilikuwa limepangwa na likapangika kwa viwango vya uhalifu wa hali ya juu kupata kutokea duniani. Mziki wa mapambano ulikuwa si wa kitoto aisee, polisi walitokwa na jasho.

Picha na video zitawajia muda si mrefu.
upload_2017-4-27_12-41-26.jpeg


Greater than 50 individuals carrying giant caliber weapons, dynamite and caltrops took half in what authorities are calling the “theft of the century.”

The group made off with cash from a number of vaults inside Prosegur, a personal safety agency in Ciudad del Este, police stated.

In preliminary reviews, police stated the vaults have been capable of retailer as much as $40 million however neither authorities nor the agency confirmed the sum that was taken.

Ciudad del Este is Paraguay’s second-largest metropolis and is alongside the border with Brazil and Argentina.

Authorities consider the robbers have been members of Primer Comando de la Capital, one of many largest felony organizations in Brazil.

wAAACH5BAEAAAIALAAAAAAQAAkAAAIKlI+py+0Po5yUFQA7

A police officer was killed throughout Monday’s shootout that began round midnight (native time) and lasted for about two hours. One other officer and three bystanders have been injured and brought to native hospitals, police said.

Grenades have been set off and greater than a dozen automobiles have been set on fireplace because the theft befell. Police stated officers engaged in a gun battle with snipers and others armed with giant caliber weapons, dynamite and caltrops.

In a constructing subsequent to the safety agency, Alejandro Anisimoff and his household ran and hid when the robbers broke into their dwelling.

“We heard continuous turmoil for an hour. Inside that hour, 5 grenades blew off right here. We hid upstairs in one of many bedrooms,” Anisimoff, whose house is within the constructing subsequent to the agency, instructed CNN en Español.

Leaving mass destruction behind them as they fled police, the robbers have been capable of cross the border into Brazil. A small group was intercepted by Brazilian police in a area referred to as Itaipulandia, about 50 miles from Ciudad del Este, officers stated.

Three suspects have been killed and 4 arrested throughout the confrontation, stated a spokesperson with Paraguay’s Interior Ministry in a news release.

The constructing had been beneath the police radar earlier than, Richard Vera, chief of the Ciudad del Este police murder division instructed Argentina’s El Pais newspaper.

In 2015, they discovered an L-shaped tunnel connecting the constructing to a close-by home.

More updates to come, stay online....
 

Attachments

  • upload_2017-4-27_12-38-41.jpeg
    upload_2017-4-27_12-38-41.jpeg
    148.7 KB · Views: 40
lakini hao nao walikuwa hawajiamini tukio moja majambazi 50 na hao wanne walio kamatwa ndio watakao waleteleza wenzao.
 
Unajua walikuwa wengi maana ulikuwa wizi wa kibabe uliohusisha mapambano "live gunfire exchange" kati ya majambazi na polis na walinzi wa hilo kampuni la kusafirisha fedha
lakini hao nao walikuwa hawajiamini tukio moja majambazi 50 na hao wanne walio kamatwa ndio watakao waleteleza wenzao.
 
Unajua walikuwa wengi maana ulikuwa wizi wa kibabe uliohusisha mapambano "live gunfire exchange" kati ya majambazi na polis na walinzi wa hilo kampuni la kusafirisha fedha
lakini 50 wengi sana yani hapo wengezidi sana wangekuwa watu 22 ambao ni sawa timu mbili za mpira.

ila kikawaida kwa hilo tukio wangekuwa watu 10 kama wangekuwa wanajiamini.
 
Utakuta mbinu zingine wanajifunza kupitia movies such as prison break,24...

Ndo athari za utandawazi hizo
 
Sass kwa namna ilivyokuwa na mpunga walikuwa wanatarajia kupata kwa Tuko hilo idadi ilibid iwe kubwa Kiasi hicho na ndio maana mamla zimesema kuwa ni wizi wa karne.

lakini 50 wengi sana yani hapo wengezidi sana wangekuwa watu 22 ambao ni sawa timu mbili za mpira.

ila kikawaida kwa hilo tukio wangekuwa watu 10 kama wangekuwa wanajiamini.
lakini 50 wengi sana yani hapo wengezidi sana wangekuwa watu 22 ambao ni sawa timu mbili za mpira.

ila kikawaida kwa hilo tukio wangekuwa watu 10 kama wangekuwa wanajiamini.
 
Mkuu umegusia kitu nyeti sana aisee ambacho hata mamlaka husika inabid wakizingatie.

Utakuta mbinu zingine wanajifunza kupitia movies such as prison break,24...

Ndo athari za utandawazi hizo
 
Sass kwa namna ilivyokuwa na mpunga walikuwa wanatarajia kupata kwa Tuko hilo idadi ilibid iwe kubwa Kiasi hicho na ndio maana mamla zimesema kuwa ni wizi wa karne.
inshu yoyote ya ujambazi ikihusisha watu wengi
sana lazima ije iwaletee matatizo.
 
Lakini kumbuka inasadikika kuwa waliofanya tukio ni magenge ya madawa ya kulevya na mihadarati, tena yamekubuhuu kwa mapambano maana kuna report moja imesema kuwa waliofanya hivyo walijiunga pamoja gerezani Brazil wakatengeneza kikosi chao cha kazi toka huko huko gerezani.

inshu yoyote ya ujambazi ikihusisha watu wengi
sana lazima ije iwaletee matatizo.
inshu yoyote ya ujambazi ikihusisha watu wengi
sana lazima ije iwaletee matatizo.
 
Back
Top Bottom