Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Mtu mmoja anahofiwa kufa wakati watu wengine 27 wakinusurika baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika mkondo wa maji wa bahari ya Hindi wilayani Rufiji Mkoani Pwani.
Anayehofiwa kufa ni mkazi wa kijiji cha Mbwera aliyetambulika kwa jina la Rukia Chobo (35)
Kamanda wa Polisi Mkoani Pwani Onesmo Lyanga alithibitisha kutokea tukio hilo na kusema jitihada za kumsaka mwanamke huyo zinaendelea.
Chanzo: Mwananchi