Nyoka aina ya Chatu mwenye futi 23 akutwa kammeza mtu

abudist

JF-Expert Member
Oct 25, 2009
850
781
Nyoka aina ya chatu 7m (23ft) amekutwa amemmeza mtu aliyekuwa kapotea Jumapili iliyopita katika kisiwa cha Sulawesi, Indonesia baada ya kuondoka nyumbani kwenda kuvuna mawese. Wanakijiji ambao walikuwa wanamsaka Akbar Salubiro mwenye miaka 25 walimkuta nyoka huyo alionyesha ana kitu tumboni. Na walipomsogelea waliona dhahiri viatu vya mtu huyo kwenye tumbo la nyoka huyo. Hivyo ilibidi wachukue hatua ya kumchana nyoka huyo na kumkuta Akbar Salubiro akiwa kisha kufa.



Source: Indonesian man found dead in belly of 7m-long python

Indonesian man's body found inside python - police - BBC News
 
Kichwa cha chatu ni kidogo sana but anameza vitu vikubwa mara 20 ya size yake..
 
Back
Top Bottom