Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,377
- 10,641
Wapendwa Salaam!
Imani.
Hapa tunaamini mara nyingi bila kuona. Utakuta mtu anaumwa akaombewa na asipone. Akifika hospitali akapata tiba na kupona hurudi kutoa sadaka kubwa kwa mchungaji kama shukrani kwa kuponywa. Kwa uchunguzi wangu mdogo SIJAPATA KUONA MUBASHARA vilema ninaowajua wakipona au vipofu wa mtaani wakipona kupitia manabii wa leo. Nimesali Katoliki, KKKT, Anglican, Baptist, Full Gospel, Jehova, AIC, Sabato, Islamic, Orthodox, Ufufuo na Uzima, Pentekoste takribani aina 6, Methodist n.k sijashuhudia kiuharisia miujiza hiyo. Kuna nabii tulimwomba akaponye watu hospitali pale Morogoro Referal Hosp alitugomea na kusema hatuna imani.
Uponyaji labda enzi za Yesu but in our era mmmh!!
Sayansi
...nimefanya tafiti rasmi na nimefanya majaribio ya reactions za kikemikali na kibaiolojia na kuona maajabu mengi yanayopruvika beyond doubt. Uvumbuzi mkubwa wa kisayansi ktk nyanja zote mf jeshini, medical, engineering etc ni majibu mubashara kuwa sayansi hutoa majawabu yasiyo na mawaa. Japo sayansi ina mengi bado haiyajibu ila walau ina proofs nyingi.
Tuwe wazi, kati ya Imani za dini na sayansi, kipi kinatoa ukweli wa mambo?
NIFUNGUENI NAMI LABDA NITAELEWA BEYOND DOUBT ABOUT MAMBO HAYA...