Walimu Mei Mosi na T-shirt za mwaka jana

Mar 24, 2017
23
13
Habari zenu wadau,

Wadau hili la walimu kuvaa t-shirt za mwaka jana Mei Mosi bado sijalielewa. Ni kwamba Chama cha Walimu kimekumbwa na mdororo wa uchumi au wanaendelea kupiga pesa za walimu?
 
Habari wanajamii forum wenzangu,

Kuna message nimepokea kuwa katika maadhimisho ya Mei Mosi mwaka huu 2017 waalimu tunaarifiwa kuwa tuvae t-shirt/fulana za mwaka jana kwa kuwa CWT imetumia pesa za maandalizi ya sikukuu hii ya wafanyakazi kununuliwa magari ya makatibu wa CWT wilaya.

Je taarifa hizi zina ukweli? kwa anayefahamu atujuze.
 
Back
Top Bottom