Habari zenu wakuu,nipo msibani hapa sasa baada ya kupata menu,mzee mmoja wa busara akasema vijana vipi hamchezi karata? Huku akituonyeshea kiboksi cha karata kipya.
Lakini zile karata baada ya...
Salam.
Yaan hawa jamaa bhana wanapiga sana pesa mjn. Yaan kila kitu mjn lazima wapite katikati tu.Wanapiga cha juu sana aise. Mbaya zaidi kuna ambao wamesajiliwa wanajulikana kisheria lakn pia...
Sasa jamani Ng'ombe zaidi ya 5000 wamekufa Shinyanga Ukame sasa kama wanyama wamekufa, mazao yalipona?
Chakula kinatosha kweli bei ya sembe ni bei gani sukari?
Wananchi wana pesa?
======
Ofisa...
Mtoto mmoja wa kiume huko India aliwahi kuwaacha hoi wazazi wake baada ya kuanza kudai aliwahi kuishi kabla ya kizaliwa
Mtoto huyo wa kiume, Taranjijt Singh anasema aliwahi kuishi miaka...
Wa Tanzania wenzangu mtandao wa vodacom unatuibia hela mchana kweupe bila kujali na hakuna popote tunapoweza kushtaki.
Huduma zao za kutuma pesa ni sawa na ujambazi wa kuvunja na kuingia kabisa...
Pamoja na kuwa KATIBA yetu ya JMT(1977) haijafafanua wala kueleza lolote juu ya sifa za kuteuliwa kuwa na ELIMU ya kiasi gani (Ibara ya 61(1)-(5) na 67(1) a-c na (2) a-h), lakini bado katika...
“Wapo wanaotaka kukwamisha maendeleo, hao nina uhakika watashindwa, tena watalegea, sisi ni mbele kwa mbele. Simung’unyi maneno, nitadili nao mpaka mwisho.”
“Hiyo ndiyo Tanzania ninayoitaka...
Lipo hili bandiko au thread lenye kichwa cha habari"Tanzanian farmers are racing heavy prison sentences if they continue their traditional seed exchange."Hili bandiko ni muhimu sana hasa kwa...
Ni kawaida kwa mzazi akiwa na mtoto zaidi ya mmoja, kuwalinganisha hasa tabia zao, tangu pale walipozaliwa., Utakuta huyu alikuwa analia sana , labda huyu alikuwa analala sana huyu ni mpole au...
MSANII Emmanuel Mbasha (32) mume wa Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala akikabiliwa na mashitaka mawili ikiwemo ya ubakaji.
Mshtakiwa huyo ambaye ni...
Wadau habari!
Katika tembea tembea nimeshuhudia wazee wastaafu walio wengi (SIYO WOTE) ambao walikuwa wanajeshi/ Askari Wa jamhuri walio pigania muungano Wa nchi hii Kwa mazoezi chungu mzima...
Hebu wanasayansi nifafanulieni mtoto wenu wa Tanzania...sio kwamba ni mshamba....but mwanzoni niliamini Ndege hupaa kwasababu ya Propeller, either ile ya mabawa au ile ya Panga k.v...
Habari zenu wadau
Leo nataka tujadili jambo hili la athari za rushwa katika jamii,
Mwl nyerere aliwahi kusema mara nyingi tu kuwa rushwa ni adui wa haki, rushwa ni kansa,
Maneno haya hutajua...
Nimeona habari kwenye gazeti moja yenye kichwa cha maneno WALIMU "KUULAMBA" FULANA ZA MWAKA JANA MEI MOSI. Maelezo ya habari hiyo yanaonesha kuwa ukata umesababisha wahusika kushindwa kuzalisha...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha,imemwachia huru mwenyekiti wa UVCCM, Lengai Ole Sabaya aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya kughushi nyaraka na kujifanya Ofisa Usalama wa Taifa baada ya upande wa...
Habari wanaJF,Leo nimefuatilia kwa yale yalotokea uku wilayani tunduru mkoa ruvuma kuhusiana na masuala ya meno ya tembo ipo kama ifuatavyo pia pata tamko la Mkuu wa wilaya tunduru alovosema.Nami...