Ninavyo fikiri mimi, wakati umewadia kwa serikali kubadili mtaala wa elimu kote mafunzo na ufundi na kununua teknolojia itakayo tumika mashuleni ili kuendana na Dunia ya sayansi na teknolojia...
Wana JF,
Kesho ni Mei mosi, Sikukuu ya wafanyakazi nchi yetu ni ya wakulima na wafanyakazi. Nanenane pia huwa ni sikukuu ya wakulima.
My take
Ninavojua mfanyakazi akistaafu baada ya kulitumikia...
SALAM KWENU NDG WANA JAMVI HBR ZA WEEKEND NA POLE KWA MAJUKUMU.
Kwanza niende moja kwa moja kwenye swali langu Nimeshuhudia viongozi mbalimbali wakiwemo marais kuandaliwa hotuba au kuandaa wao...
Mimi nimesoma Kirumba primary bwana alikuwepo mwalimu mkuu jina lake Mwl. Jirabi huyu baba alikuwa anachapa bwana tena akikuchapa ni lazima ushike masikio.
Leo kupitia azam tv taarifa nilibabatiza kuhusu madaktari wa macho kutoka Marekani ambao watapima na kutibu kuanzia tarehe 3 mpaka tarehe 8 may 2017.
Mwenye taarifa rasmi ya wapi watatolea hiyo...
Mheshimiwa dr jpm anatarajiwa kutoa hotuba ya mei mosi ambapo kitaifa itafanyika moshi tar 01.05.17 katika viwanja vya chuo cha ushirika MUCCOBS(MOCU)
Mji wa moshi umekuwa busy kutokana na ujio...
Mtu anaeishi Tanzania anapo potelewa na kitu mfano: kadi ya bank, kitambulisho cha kazi ama nyaraka muhimu zinazo muhusu, anatakiwa kwenda kuripoti polisi kwa ajili ya kupatiwa loos liport, ila...
Nina imani Mungu amewaamusha salama.
Jana jioni nilipotoka kwenye mizunguko yangu, nikajipumzisha sehemu na mtu wangu (ke)mahali.
Mtu wangu ni mmoja wa vijana walio kwenye harakati za kutafuta...
MAGARI YA TOYOTA KUTENGENEZWA TANZANIA
Kuna tetesi nimeziona kwenye mitandao kuwa Waziri wa Viwanda wa Tanzania amekutana na CEO wa Toyota nchini Japan nakukubaliana na CEO wa Toyota kujenga...
Ukweli serikali ilimwajiri mtoto wangu mnamo tarehe 1/06/2016 kwenye mahakama ya mwanzo kama hakimu, alipewa pesa za kujikimu na alipewa mkataba wa kazi na akapangiwa kituo cha kazi na alianza...
Jeshi la Polisi Jijini Mwanza linamshikilia Mzee wa miaka 66 kwa tuhuma za kumpa ujauzito mjukuu wake wa miaka 16.
Inadaiwa kuwa amekuwa akimuingilia kinguvu tangu mwaka 2011.
========
Mzee...
Wakuu,
Kwa wale wenyeji wa Busega,ningependa kufahamishwa:
a)Hali yake ya hewa,
b)Yalipo makao makuu ya wilaya
c)Kata zilizo pembezoni ma Ziwa Victoria
d)Umbali kutoka Makao Makuu ya Wilaya mpaka...
Wadau nimepita maeneo ya UDSM nikaona mizinga ya nyuki imetundikwa kwenye miti iliyotanda nyuma ya jengo la UCC eneo ambalo lilizoeleka kwa wanafunzi kujipumzisha na kujisomea kwa sababu ya kuwepo...
Salama Ndg zangu.
Kumekuwa na taarifa zinazokinzana (sana) kati ya Mamlaka ya hali ya hewa nchini(TMA) na hali halisi yenyewe. Na hili limekuwa kikwazo kikubwa kwa sisi wakulima kuhusu hizo...
Tarehe moja ya mwezi wa tano kila mwaka, ni siku ya kimataifa ya wafanyakazi. Siku hii ina historia kubwa sana kwa wafanyakazi wote, kwa sababu imekuwa ni siku ya kuazimisha harakati mbalimbali...
Si jambo la kificho tena kwamba kuna kuyumba kwenye maamuzi na ubaguzi wa kuchagua huku kama taifa tukikosa msimamo na mtazamo sahihi katika yale yatokanayo na mikakati maono na vipaumbele vya...
Kinanishangaza sana watu kulalamika juu ya rais wetu kua hatendi haki kuwasimamisha kazi wafanyakazi wa uma waliofoji vyeti. Chakusikitisha zaidi unakuta mtu anasema kua "Ohh huyu alifoji miaka ya...