TPB iringa naomba msaada

Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
3,052
4,101
nilikuja kufungua account hapo wiki lililopita ila sikupewa card nikaambiwa nitapigiwa simu kuna utaratibu wa kubadilisha card za.Wateja mpaka sasa sijui nitapigiwa simu lini naomba nijue muda sahihi wa utaratibu huo utaanza lini
 
Back
Top Bottom