wakikosi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,354
- 1,488
Yaani hiki king'amuz cha Azam TV kina kela kwakweli,nipo tu home masaa mawili sasa mvua inanyesha hat kuangalia TV siwezi.
Yaani hawa jamaa mvua ikinyesha tu matangazo yanakata,signal zinashuka.Da inanikera sana Mimi.Watu wa Azam TV mjaribu kumaliza hili tatizo maana toka mvua za masika zimeanza mara nyingi nakosa kupata picha nzuri.