illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Serikali ijitahidi kuzuia vikundi hivi vya wanamgambo, dah huko tunakoelekea Mungu atuepishie jukumu la usalama wa raia na mali zao unaanza kwa raia wenyewe tusichoke kuripoti
A picture worth a thousand words hakuna sehemu nimeandika CUF ya lipumba sijui haya maneno umeyatoa wapi?Thibitisha kama kweli hao ni migambo wa CUF ya Lipumba....