DSM watu binafsi wanauza magari kwa kasi mno

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,583
Habarini za asubuhi wakuu,

Ni siku nyingine tena tunaingia mtaani kusaka mkate wa siku wakati joto la watumishi hewa kupungua maofisini kuanzia leo May 02,2017 likionekana kutawala miongoni mwetu. Amani ya Mungu iwe nasi, tupewe mshipa wa ustahimilivu.

Kumekuwapo na ongezeko kubwa (na la ghafla) la magari yanayouzwa toka kwa watu binafsi hasa mijini, kwa bei ya kawaida kabisa ukilinganisha na soko lake lilipo. Na wengi wanaonekana kuuza magari mazuri tu ambayo yana usajiri wa namba ' C au D' waliyoyanunua na kuyatumia kwa kipindi kifupi sana.

Kuna wakati mtu unakuwa unajiuliza, inakuwaje gari ya hali hii inauzwa bei ya kutupwa? Mbovu? Mtu ana shida? Ada za watoto? Mtu anaumwa au kufukuzwa kazini kutokana na sakata la wafanyakazi hewa na vyeti feki. Yote haya yamekuwa maswali ambayo mtu unajiuliza kwann kasi ya uuzwaji wa magari imeongezeka sana.

Lingine ni kosa kubwa kununua gari lililopo mkoani mfano Kilimanjaro, Iringa, Mbeya nk. Gari kule Moshi kila mara inapanda milimani na kushuka. Hali kadhalika huko Njombe au Mbeya. Gari safi itafutie DSN na uwe tu makini mtu asikudanganye iko DSM kumbe iko Malinyi, Ulanga.
 
Habarini za asubuhi wakuu. Ni siku nyingine tena tunaingia mtaani kusaka mkate wa siku wakati joto la watumishi hewa kupungua maofisini kuanzia leo May 02,2017 likionekana kutawala miongoni mwetu. Amani ya Mungu iwe nasi, tupewe mshipa wa ustahimilivu.

Kumekuwapo na ongezeko kubwa (na la ghafla) la magari yanayouzwa toka kwa watu binafsi hasa mijini, kwa bei ya kawaida kabisa ukilinganisha na soko lake lilipo. Na wengi wanaonekana kuuza magari mazuri tu ambayo yana usajiri wa namba ' C au D' waliyoyanunua na kuyatumia kwa kipindi kifupi sana. Kuna wakati mtu unakuwa unajiuliza, inakuwaje gari ya hali hii inauzwa bei ya kutupwa?Mbovu? Mtu ana shida? ada za watoto?Mtu anaumwa au kufukuzwa kazini kutokana na sakata la wafanyakazi hewa na vyeti feki. Yote haya yamekuwa maswali ambayo mtu unajiuliza kwann kasi ya uuzwaji wa magari imeongezeka sana.

Lingine, ni kosa kubwa kununuw gari lililopo mkoani mfano Kilimanjaro, Iringa, Mbeya nk. Gari kule Moshi kila mara inapanda milimani na kushuka. Hali kadharika huko njombe au Mbeya.Gari safi itafutie Dsm na uwe tu makini mtu asikudanganye iko Dsm kumbe iko Malinyi, Ulanga.
Wanaiuzia serikali au watu binafsi wengine? THINK
 
Wengi wanaouza walikuwa wanayo magari zaidi ya 2+. Kwa sasa hali imebadilika kumikiki magari zaidi ya mawili ni mzigo, so option iliyopo ni kupunguza.
 
Wewe jamaa mungu anakuona, yaan umeamua utuzunguke kwa kutumia Bagamoyo road
Hapo ulitaka useme wanaume wa Dar,
huu uchochez utaisha lini?
 
Habarini za asubuhi wakuu,

Ni siku nyingine tena tunaingia mtaani kusaka mkate wa siku wakati joto la watumishi hewa kupungua maofisini kuanzia leo May 02,2017 likionekana kutawala miongoni mwetu. Amani ya Mungu iwe nasi, tupewe mshipa wa ustahimilivu.

Kumekuwapo na ongezeko kubwa (na la ghafla) la magari yanayouzwa toka kwa watu binafsi hasa mijini, kwa bei ya kawaida kabisa ukilinganisha na soko lake lilipo. Na wengi wanaonekana kuuza magari mazuri tu ambayo yana usajiri wa namba ' C au D' waliyoyanunua na kuyatumia kwa kipindi kifupi sana.

Kuna wakati mtu unakuwa unajiuliza, inakuwaje gari ya hali hii inauzwa bei ya kutupwa? Mbovu? Mtu ana shida? Ada za watoto? Mtu anaumwa au kufukuzwa kazini kutokana na sakata la wafanyakazi hewa na vyeti feki. Yote haya yamekuwa maswali ambayo mtu unajiuliza kwann kasi ya uuzwaji wa magari imeongezeka sana.

Lingine ni kosa kubwa kununua gari lililopo mkoani mfano Kilimanjaro, Iringa, Mbeya nk. Gari kule Moshi kila mara inapanda milimani na kushuka. Hali kadhalika huko Njombe au Mbeya. Gari safi itafutie DSN na uwe tu makini mtu asikudanganye iko DSM kumbe iko Malinyi, Ulanga.
yako wapi hayo ya bei nafuu
 
Ya Dar kwa sababu ya humidity ya kuwa karibu na bahari angalia kutu unaweza kukuta vyuma vimeliwa au body. nalo la kuangalia
 
Back
Top Bottom