Nataka kuhamisha kutoka emal kwenda whatsapp

sherida

Senior Member
Feb 15, 2017
133
194
Je inawezekan kuhamisha kitu kutoka kwenye e mail yangu kwenda kwenye whatsapp natumia simu
 
Fanya kuselect hiyo email alafu utaikopi ukashamaliza nenda kwenye whatasap pale kama unatuma text utaclick utaona kwa juu neno PASTE basi utakua ushamaliza
 
Back
Top Bottom