Kwa mujibu wa Mamlaka ya hali ya hewa

Mr.Kipara

Member
Oct 27, 2012
17
11
Wadau wetu wa hali ya hewa kwa hivi sasa Utabiri wetu wa hali ya hewa wa kila siku pia utakuwa unapatikana kwenye magazeti ya Daily News na Habari Leo. Fuatilia
 

Attachments

  • weather.jpg
    weather.jpg
    104.1 KB · Views: 22
  • hewa.jpg
    hewa.jpg
    107.8 KB · Views: 29
baada ya media binafsi kuwasusa wamekuja huku maana tv almost zote binafsi hazionyeshi utabiri!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
baada ya media binafsi kuwasusa wamekuja huku maana tv almost zote binafsi hazionyeshi utabiri!
Wanachopatia ni upepo wa bahari tu! Kutakuwa na manyunyu, mvua za hapa na pale na vipindi vya jua kwa baadhi ya maeneo.
 
Back
Top Bottom