Wewe ndio pilipili mwenyewe?Mchekeshaji nguli duniani MC Pilipili anastahili kutunukiwa shahada ya udaktari wa heshima kufutia kufanikiwa kuwa-inspire vijana wengi kujiunga na u-MC.
Ni kweli kabisa 100%Tatizo mc pilipili sio mbunifu nimehuzuria sherehe nne nakuta mc pilipili anarudia yaleyale kila sherehe..... halafu anapenda kumwiga Omondi... sjui kabila gani huyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ndio pilipili mwenyewe?
Umetumwa?Mchekeshaji nguli duniani MC Pilipili anastahili kutunukiwa shahada ya udaktari wa heshima kufutia kufanikiwa kuwa-inspire vijana wengi kujiunga na u-MC.
We ni kiazi kweli acha kujipa promoMchekeshaji nguli duniani MC Pilipili anastahili kutunukiwa shahada ya udaktari wa heshima kufutia kufanikiwa kuwa-inspire vijana wengi kujiunga na u-MC.