Nakereka sana na wahudumu wa afya hasa manesi

buthabutha

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
659
396
Wahudumu wa afya hasa manesi mahususi kwa kupima ujauzito, wife wangu ameenda kupima ili aanze klinik cha ajabu anaambiwa ili apimwe lazma mme niwepo, wao wako sahihi ila mm sko tanzania kwa sasa na siwezi kurudi hivi karibuni

swali , inamaana wife aendelee kuumia hadi nitakapokuja? Na ikitokea mme amepoteza maisha je hili linakuwaje

Binafsi sjui lkn najua wataalamu mtakuja kuweka sawa hili ambalo kwangu ni kero sana

Karibuni
 
Back
Top Bottom