Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
Habari ndugu zangu !!
Leo ni Mei mosi hapa Moshi ki ukweli walimu hapa wananishangaza sana. Pamoja na madai yote ambayo hayajalipwa, kutoboreshwa kwa mazingira ya kazi na mambo mengine mengi wamejitokeza kwa wingi wanashangilia tena kwa nguvu zote kana kwamba hakuna matatizo yoyote.
Kwa yanayofanywa hapa sidhani kama kuna mtu anaweza kuwasikiliza walimu kwa malalamiko wanayotoa na watu wataendelea kuamini WALIMU SISI NI CHEAP LABOUR. WALIMU TUTADHARAULIKA MPAKA KESHO ngoja Mei Mosi ipite tutaona tu
Samahani kama kuna watu nitakuwa nimewakwaza