Clouds TV, tunaomba kipindi cha marudio ya mahojiano na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif

kikaniki

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
508
962
Wakati mahojiano yanaendelea, Tanesco wamefanya yao. Wamekata umeme. Tafadhali, tunaomba marudio ya kipindi hiki ili kwa wale waliokosa kipindi hiki, aidha kwa kuwa wapo vibaruani au kwa kukatiwa umeme waweze kukiangalia usiku.

Kwa heshima na taadhima.. Ninawaomba

Mod: Nakuomba usiunganishe uzi huu na uzi mwingine wowote.
 
inaendelea hewani kaka
 
Kuna Hutu mtangazaji wa 360 aliyemreplace yule aliyechaguliwa ukurugenzi,aisee maswali yake Ni ya kitoto sijawai kuona,alafu anatafuta sifa zisizokuwa na maana kutoka walioko madarakani!!
 
Kuna Hutu mtangazaji wa 360 aliyemreplace yule aliyechaguliwa ukurugenzi,aisee maswali yake Ni ya kitoto sijawai kuona,alafu anatafuta sifa zisizokuwa na maana kutoka walioko madarakani!!
Kwa kulijua hilo la huyo kijana...imebidi wamlete kipanya ili a-balance mjadala.
Huyo kijana anauliza maswali kishabiki na sidhani kama anazingatia weledi.
 
Kipanya ni mtu mzima haulizi maswali ya kitoto toto
Kipanya ameonyesha weledi na ukomavu wa hali ya juu katika kuendesha mahojiano haya na vilevile Maalimu amenikosha na kusuuza kiu yangu . Amenithibitishia pasipo shaka yeye ni NGULI wa siasa na mweledi kwelikweli
 
Back
Top Bottom