Watumishi wa umma waliodanganya tarehe za kuzaliwa kiama chao kinakuja

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,358
Akitangaza wakati wa sherehe za mei Moshi mjini Moshi Jana Rais Magufuli alisema kuna watumishi wanaonekana walitakiwa wawe wameshastaafu lakini bado wapo kazini kisa waligushi tarehe za kuzaliwa sasa kiama chao kinakuja.
 
Ni Jambo zuri! Kwani watumishi wengi wamefikia umri Wa kustaafu lkn bado yupo kazini, Jambo hili limepelekea kuziba nafasi za vijana ambao walipaswa kuajiriwa.
Pia umri Wa kustaafu upunguzwe uwe miaka 45 hiari, 50 lazima.
Hakika mchakato huu uta ongeza nafasi za ajira kwa vijana wanao hitimu masomo yao!
Kuna wazee wamengangania nafasi miaka mingi sana!!
 
Back
Top Bottom