Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jana nilikuwa Nikimsikiliza Mheshima Maalim Seif Kupitia kipindi cha 360 Kinachorushwa Clouds Tv akihojiwa juu ya mgogoro wa Cuf. Leo pia tulikuwa na Prof Lipumba baada ya kusikiliza pande zote...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wenyewe wanasema Uswazi Raha, wazee wa kula miguu ya kuku na kichwa wakati kuku mwenyewe analiwa Osterbay. Usisahau kuandika maisha ya Uswazi yalivyo nini ulikipenda na kipi kilikuwa kinakuboa...
2 Reactions
53 Replies
26K Views
Msaada tutani kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mmoja wa mzazi wangu wa kufikia kakumbwa na swala la vyeti feki. Sasa changamoto inakuja yeye alikopa nyumba ya serikali na akawa...
0 Reactions
1 Replies
646 Views
Habari zenu, kuanzia leo May 04 2017 Easy Tv wametoa tangazo linalosema kuna baadhi ya chaneli hazitaonekana kwenye King'amuzi cha Easy Tv. kwasasa karibu mwezi chaneli za MBC zilikuwa zinatangazo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Watumishi waliobainika na vyeti feki na kuhisi wameonewa, Waziri Angellah Kairuki amelieleza Bunge kuwa watatakiwa kuandika barua kwa Katibu Mkuu na nakala kwa baraza la mitihani. Amesema barua...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu natafuta Nyumba ya kupanga/ apartment iwe mpya, yaan iwe haijakaliwa na mtu maeneo ya kijitonyama na sinza. Isizidi Laki nne
0 Reactions
0 Replies
475 Views
Mida ya asubuhi leo napokea sms hii kutoka kwa babu(mganga).hivi hawa matapeli number zetu huwa wanatoa wapii?? Nimejifanya kumwambia babu umekosea number ila na mimi nataka huo utajiri ili...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Jamani wakuu nakumbuka Mh Rais alitangaza kuwa mwaka huu wa fedha atatoa nafasi za ajira 52000, leo nimeona kwenye gazeti kuwa nafasi zitakazotangazwa ni 15,000 , hebu mwenye taarifa ya nafasi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
(1)Kuanzia Mwaka 2012 Serikali iliipandisha Hospital hiyo hadhi na kuatangaza kuwa itakuwa Mwaajiri wa wafanyakazi (2)Kuanzia hapo ikaanza kulipa mishahara kwa kuwapatia kila mfanyakazi Check...
4 Reactions
31 Replies
9K Views
Kuna jambo linanitatiza sanaaa mpaka nahisi kuchanganyikiwa, ni hivi:- Toka nipate wazo na hatimae kuanza ujenzi wa kumjengea bi mkubwa (mama) nyumba, mzunguko wa pesa umekatika gafla, na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wale wahudumu husema wanafanya vile kwa mujibu wa sheria za kimataifa, je hiyo sheria ilinuia nini kutaka taa zizimwe ndani wakati pilot yupo kwenye cockpit na si kwamba taa zinamwumiza asione...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Vitendo vya wanafunzi kupewa mimba vinazidi kuendelea ambapo Leah Mwakyembe (15), mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya Sekondari Ikimba na mkazi wa Kata ya Ikimba wilayani Kyela, Mkoa wa...
6 Reactions
27 Replies
10K Views
Kwanza kabisa natoa hongera kwa Jeshi la Polisi haswa kamanda Wa mkoa Wa DSM Kamanda Siro kwa kuamua kujenga Kituo kikubwa "class c" ktk eneo la Kiluvya, naamini Kituo hicho ndicho kitakuwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Moja ya kikwazo kikubwa cha maendeleo Tanzania ni kwamba viongozi wengi si wa kweli! Na msingi wa njema zote ni ukweli. Tunaweza kukataa Watu si kwa Sababu siyo wasafi Ila si wa Chama changu...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mama huyu daktari msaidizi (AMO) halmashauri ya wilaya Mpwapwa ambaye alikuwa amebakiza miaka miwili tu astaafu hakugushi cheti bali kilichomponza ni kuweka majina mawili ya mume wake kulinda ndoa...
5 Reactions
140 Replies
17K Views
Wakuu, Nauliza hili agizo la shule zote za serikali na binafsi kuwa na mihula miwili lipo? Nimepata habari baadhi ya wamiliki wa shule binafsi wanapuuzia agizo hilo au kuna mabadiliko?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu John Marandu (59) alikuwa Mwandishi wa RTD na Baadaye Kuwa Mwandishi wa ITV na Redio one. Na Baadaye ITV ilipoanza Kituo Arusha alikuwa Mkuu wa Kituo mpaka alipopishana Kauli na Mwajiri...
5 Reactions
127 Replies
21K Views
Dah hakyamungu,hivi ni kweli ile ajali ndo ilimfanya akawa anaongea vitu vya ajabuajabu?anyway nafikiri walimpa sumu kwa kweli au walimloga lakini zamani alikuwa ni genius na kwenye utawala wake...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari Wakuu, Katika jamii ya Kitanzania kama sio Africa nzima tumekuwa tukishuhudia watu wanaobahatika kuongezeka ukubwa wa mwili pamoja na kuota vitambi wakisifiwa na kuonekana kama wametusua...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…