Da aisee pale drive inn acha tu na cinema za kihindiDah, Avalon mpaka leo hipo, hizo Empire, Empress, Starlight, Drive Inn (ticket Mbu) hazipo tena na zingine zimebomolewa kabisa
Kila MTU ana TV kwake CD mpaka buku so ni kujijnunulia kwenda kucheki homeNini sababu ya mapenzi ya watu wengi ya kwenda sinema kupotea?,sinema za kidosi zilikuwa zinapendwa sana,Mithun Chakraboti,mzee Ashanti,Govinda,nk....Hatya ya Govinda ( mtoto bubu) niliipenda sana...daah kitambo.
Da aisee pale drive inn acha tu na cinema za kihindi
Ila now kumejengwa ubAlozi
Hapo Drive In nikiwa bado ' kadogooo ' Kaka zangu walikuwa wakinipeleka ila nilipachukia kwakuwa enzi hizo picha za Kihindi za ' Amita Bachan ' ndiyo zilikuwa katika ' chati ' ile kinoma halafu palikuwa na Mbu wa ' kutukuka '.
Kila.mtu ana Tv zimejaa muvi ss unaenda kufanya nnNini sababu ya mapenzi ya watu wengi ya kwenda sinema kupotea?,sinema za kidosi zilikuwa zinapendwa sana,Mithun Chakraboti,mzee Ashanti,Govinda,nk....Hatya ya Govinda ( mtoto bubu) niliipenda sana...daah kitambo.
Duuuu....poleniii mi nilikuwa nakaa kwa anko wangu mule kwenye kota za police tuAcha kabisa, picha linaisha saa sita usiku, na ndio kunakuwa na UDA (Bayankata) la mwisho kutoka Mwenge kwenda Kariakoo, mnatoka DriveInn mnakimbia mpaka Morocco kusubiri UDA hiyo ili mwende Uswahilini
Duuuu....poleniii mi nilikuwa nakaa kwa anko wangu mule kwenye kota za police tu
Kumbe wengine mlikuwa mnatoka mbaaali...!!!!