Hahahaaaa mwana uswaz mtiifumi naishi uswazi mpaka sasas na ntafia uswazi japo mi sio mswazi
hahaha tatizo la wana jf wanajifanya wapo masaki kumbe wapo kwa mtogole hahahaHahahaaaa mwana uswaz mtiifu
HahaaaahaaaaUswazi lazima utoke na gutaulo huku mswaki uko mdomoni mpata dukani.
Kwetu Uswahili ila ndani ndani hatunaga hayo mambo!