HOW TO BECOME SMARTER
Exercise Your Brain
Just like you workout to build and strengthen your muscles, your brain, too, requires proper exercises to sharpen itself. Often, it is assumed to be a...
Angalia viganja vya mikono yako, je vina mistari? Na kama ipo, je, kuna mtu anayeweza kuifuta na kuiondosha?! Naamini jibu litakuwa ni hapana! Basi kama hakuna, tambua kuwa hakuna anayeweza kuzuia...
Kutokupenda kusoma na kufuata yaliyomo kwenye mikataba
Kutokupenda kufuata sheria bila shuruti
Kupenda "short cuts" iwe barabarani, foleni, kazini, vyeti n.k.
Kutokupenda kubandika bei za bidhaa...
Wadau kama mnakumbuka kwenye mwanzoni mwa miaka ya 2000 kulikuwa na brands mbalimbali za simu za mikononi kama Motorola,Siemens,Alcatel,Sagem,Philips,Bird,Ericksson na nyinginezo.
Lakini mpaka...
Habari zenu wana JF,
Napenda kuchukua fursa hii kupongea Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kwa uzalendo na utendaji kazi wao uliotukuka kwa kudhibiti bei ya bidhaa ya...
Tuchangie hoja bila matusi wala jazba nimeitoa sehemu:
#Foleni kubwa ya magari TAZARA: Je ni askari wa barabarani kushindwa kuongoza magari ? Wananchi wahofia kupoteza 'vibarua'vyao.
=======
Ni...
Wandugu,
Nimepata tenda ya kuuza dagaa wa kukaangwa wale kuwatuma US naombeni msaada nihatua gani nipitie na njiagani ambayo ntasafirisha kwa urahisi naanda na 10kg za dagaa ambazo nauza kila...
Jamani nimekaa naona maisha sasa hali sio nzur nimeamua sasa nitafute mbinu tegemezi ya uchawi Lakin mimi nimgeni nimwulizia Lakin jibu sijapata zuri. Naombeni kwa mwenye ufahmu wa haya anielekeze
Aliyemaliza form 4 au darasa la 7 akafeli, akachukua cheti cha mwingine akaendelea nacho mpaka elimu ya ngazi yoyote na mtu huyo alishaapa mahakamani kulikana jina lake la zamani na kutumia la...
HII NDIYO VITA DHIDI YA MAKONDA
-------------------------------------------------------------------------------------
Ushawahi kujiuliza kwa nini??? baadhi ya wanasiasa bila kujali vyama wanatumia...
Wanabodi,
Kuna vurugu kubwa maeneo ya stend ndogo Arusha Jiji la Arusha, vurugu hizi zimesababishwa na hatua ya Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kutoa barua za kuwapa vibanda madalali ambao hawafanyi...
BINADAMU MWENYE UMRI MREFU ZAIDI DUNIANI ANAISHI TANZANIA.
Ndugu Ambilikile Mwanyaluke Panja Mkazi wa Kijiji cha Majengo Kata ya Ihanda ndiye Binadamu aliye na Umri mkubwa kuliko wanaodaiwa...
Ndugu zangu wana JF jukwaa ambalo ni Darasa tosha,kuna Jambo naomba kueleweshwa pia kuelimisha wengine ambao watapitia katika Andiko hili;-
Huku maofisini pamejitokeza Sintofahamu ya Baazi ya...
Wanajamvi nianze kwa kuwasalimia.
Ni hivi juzi tumepokea taarifa ya ndugu zetu kukosa sifa za utumishi serikalini. Naamini kwa namna moja ama nyingine wote tumeguswa maana kile kishindo mwangwi...
Naandika haya kwa uchungu dhidi ya huu mtandao wa vodacom.Tarehe 25/4 saa 7 na robo mchana nilipigiwa simu dada kazidiwa tena kutoka kwa majirani, niliwaomba watafute gari wamkimbize hospital mimi...
Tanzania Breweries Limited (TBL) mmekuwa innovative sana, mnakwenda na nyakati na mazingira halisi ya wateja wenu. Mmetuletea kitu roho inapenda, bia ndogo ambayo ipo friendly sana na hali halisi...