Mfano cheti changu kimetumiwa na zaidi ya watu 4 na wote tumetajwa je mm mwenye cheti halali naweza wageuka nilio wapa na kuwasingizia kuwa wameniibia
cheti
Je mm nilio wapa au mwenye cheti nitapona
inasemekana kumetokea ajali huko mvomelo ukipita bamsi kabla hujafika makunganya kuna eicher imegongwa na lori na hali ya majeruhi ni mbaya....mwenye taarifa zaidi atujuze
kama tunavyojengewa BRT DART haya mambo yapo duniani kote..wazungu bwana nashindwa kuelewa niseme nini. Ni ukoloni au ni mbinu mpya ya kuwekeza ama kutufanya sisi tujengewe haya madude..Ona huko...
kwanza kabisa napenda nikupongeze kwa agizo lako la kuagiza ifanyike tathmini kama kuna umuhimubwa kuwa na CDA...
Naamini kama hili wangeulizwa wananchi wa dodoma, asilimia 99.99 wangesema CDA...
Simanzi na majonzi vimeukumba mji wa Arusha na Tanzania kwa ujumla kufuatia ajali iliyosababisha vifo vya wanafunzi wa darasa la 7 wa shule ya Lucky Vincent. Wanafunzi hawa walikuwa wanakwenda...
Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limekifunga kiwanda cha U Fresh kilichopo Tegeta, jijini Dar es Salaam baada ya kubainika kutengeza juisi ambazo zipo chini ya viwango vya ubora.
Shirika...
Nilipata kusikia wakati flani kuwa mwezi wa pili, tatu na nne hivi pamoja na mwezi wa nane na tisa kila mwaka ni msimu wa ajali za barabarani!
Na kiukweli tukijaribu kuangalia hii miezi kunakuwa...
Katika kipindi hiki cha majonzi kwa wafiwa na wale wote walioguswa na ajali, niljaribu kutafakari wale ambao walibahatika kupona. Sio kupona kwa kuwa wamenusurika na ajali, bali kwa kuwa waliachwa...
Aisee watanzania wana Akili sana watu wali edit vyeti vyao na Kutengeneza Vipya kwa index number ileile yaani kama Mtu alipata
History-D
Civics-C
Geography-C
Kiswahili-C
Biology-F...
Kuna watu wanataka kumuua Lowassa na baadae kusema kuwa Magufuli amemuua Lowassa halafu baadae watamgeukia Magufuli na kumuua na kusema marafiki wa Lowassa wamemuua Magufuli kwa kuwa alimuua...
Baada ya serkali kufanya uhakiki kwa watumishi wa umma na kubaini madudu ya vyeti feki, itapendeza zaidi sekta binafsi nazo zichukue hatua kwa kuanza kufanya uhakiki ili kuwabaini wasiostahili na...
Nimejiuliza tu hili swali maana nashindwa kuelewa na kuamini kama manispaa ya dodoma ina watu wa afya . Hii ni kutokana na kuona maini na utumbo ukiuzwa hadhani independence squre kando kando na...
Mi nashauri kipindi tunahuzuni kubwa namna hii ni vizuri tukachukua hata
Tunasubiria uchunguzi wa polisi kuhusu chanzo cha ajali hii ya Watoto wetu lakini hata zichukuliwe zaidi katika vyombo...
Ajali imetokea ruvu shule ya msingi ikihusisha basi la kampuni ya BM karibu na zebra waliofariki ni wapanda baiskeli wawili pia bus limegonga kibao cha zebra na lory lililokua pembeni yani (petrol...
waku wakati ajali hiyo inatokea nilikua mdogo sana nilikua chekechea,sasa huwa sina kumbukumbu kabisa coz my sister miaka miwili iliyofuata alifaulu kwenda machame girls nikiwa darasa la kwanza hv...