Nimestuka haya majina maana yake hawakukusanya cheti cha form four. Please nashare ili ukiona jina lako uwasiliane na wahusika isije ikafika tar 15 May
Mpaka Maprof wapo!! Huwa nasikia maprof...
∆. Kamtapeli mpenzi wake
∆. Alimzuga kwa kubadilisha magari ya kifahari
This Tanzanian man scammed a local woman of millions please lets help her. He is wanted by the Mayville Police, there is...
Kwa kipindi kirefu nipo kwenye utafiti nikifanya utafiti wa kuchunguza magroup ya wasap na Instagram wanao sema wanajiuza
Nilichukua namba zao na kuanza kuzifuatilia
1:Uwaga wanasema ukitaka...
The wonders of the world.
Ambulace zilizonunuliwa awamu ya 4 na wabunge wawili wa mkoa wa Arusha kwa pesa zao za mfukoni Joshua Nasari na Godbless Lema zimeanza kufanya kazi tangu awamu iliyopita...
Ajali na majanga yanaweza kutokea mkoa, wilaya au kijiji chochote nchini. Msiba huu wa watoto wetu wa Arusha ulitugusa karibu taifa lote. Naomba majanga kama haya yatakapotokea sehemu nyingine...
Mh Zito ametaka kuwe na sheria ya usafirishaji wanafunzi
Ni jambo jema sana mfano katika shule za kata unakuta wafunzi wanapanga safari wenyewe tena wanakutana nje ya shule na kukodi gari kwenda...
Ajali mbaya imetokea asubuhi hii mkoa wa Shinyanga eneo la Kizumbi, Mbuyuni kwenye kona.Basi la la kampuni ya Allys kutoka Mwanza limegongana na Coaster inayofanya safari kati ya Isanzu na Kahama...
Airport passport contral section. Huduma zao ni mbaya sana na wako slow saaana, wahudumu wa kwenye ma bar na mahotel wana huduma nzuri kuliko wao. Naomba muhusika wa section hiyo awape training...
Mheshimiwa huku kwetu jana na juzi tumetafakali sana hatimae tukakumbuka kuwa;
Wewe, kwa kauli yako tu umeifanya barabara ya ubungo kibangu inapitika tena kwa kiwango cha lami.
Wewe, kwa kauli...
Nimeona mara nyingi nguo nyeusi zikivaliwa nyakati za misiba mbalimbali kama vazi rasmi na hata wanajeshi wanavaa riboni nyeusi mkononi wakati wa msiba. Nakiri sielewi maana yake nini ingawa nami...
Mada tajwa hapo juu yahusika,
Wakuu kuna baadhi ya watu huenda kwa waganga wa kienyeji wa aina mbali mbali ili kutatuliwa matatizo yao. Wapo wanaofanikiwa na wapo wanaoendelea kupoteza pesa kwa...
Wakuu mwenzenu nikiingia aliexpress nikitaka kununua kitu kwenye payment method sioni paypal naona tu wananiambia niingize namba ya kadi yangu ya benk.
Mara wananiletea alipay halafu wananiletea...
Wabunge wa ccm ni watu gani na serikali yao wamethibisha ubashite wao na namna ambavyo ni wamekosa weledi wa kisiasa na kwamba kwao maslahi ya nchi hii si kitu muhimu hata kidogo!!! Hili ni...
Habari wakuu, kuna mvua kubwa inayonyesha Bukoba, mvua hiyo imepelekea kuharibika kwa miundombinu ya barabara kuu inayoingia na kwenda mikoani eneo la Kemondo. Kwa wale wasafiri wa kwenda mikoa ya...
Salam ndg zangu.
Toka swala la uhakiki lianze, haliishi kabisa.Kila siku uhakiki, hii inasababisha watumishi wa umma kila siku kutembea na vyeti original mkononi ili ikitokea la kutokea,awe...
Kumekuwepo na hoja mitandaoni kuwa askari wenye vyeti feki wakifukuzwa basi uharifu utaongezeka hii ni dhana tu ambayo haina ukweli kwanini nasema hivyo
Tukumbuke hawa askari si kwamba wote...
Ndugu watanzania, huyu mtoto Subira anasumbuliwa na ugonjwa mbaya, hali inayomfanya asiweze kula chochote zaidi ya mafuta na sukari robo, kibaya zaidi analelewa na mama tu baba alifariki, mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.