REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,611
- 9,814
Kumekuwepo na hoja mitandaoni kuwa askari wenye vyeti feki wakifukuzwa basi uharifu utaongezeka hii ni dhana tu ambayo haina ukweli kwanini nasema hivyo
Tukumbuke hawa askari si kwamba wote wanatoka mkoa mmoja, au wilaya moja hawa askari kila mtu anakwao tukumbuke ile dhana ya watawanye kisha watawale ndio sawa na hii kwa askari endapo wakitimuliwa kwa kutumia vyeti feki hawa kila mtu ataenda kwao hivyo ni ngumu sana kushawishika akaanza uharifu
Mfano kituo au kambi moja wakapatikana askari ishirini hawa lazima kila mtu akitimuliwa atarudi kwao mfano mmoja arudi kwao nkasi rukwa uko mwingine aende lindi uko unafikilia nini hapo kuna munganiko tena
Kitu kingine mtaani kuna askari wengi ni wastafu na wamepigika ila hii hali ya kufanya kila anayestaafu anarudi kwao imewatawanya hivyo basi hata ile dhana ya kuanzisha genge la kihuni haipo maana wanesambaa wamepoteana kabisa
Hivyo basi suala kufukuza kazi askari wenye vyeti feki linawezekana kabisa