Msaada wa haraka kwa mnaotumia Ebay na aliexpress

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,612
4,720
Wakuu mwenzenu nikiingia aliexpress nikitaka kununua kitu kwenye payment method sioni paypal naona tu wananiambia niingize namba ya kadi yangu ya benk.
Mara wananiletea alipay halafu wananiletea namba ya kadi plsss nisaidieni nifanyeje.
Nataka kutumia paypal. Tatizo langu jingine ni kule ebay jamani nikiagiza bidhaa kwenye comfirm pale kujaza zile taarifa country wanaleta USA sasa inamaana mzigo unaandika post to US
msaada plzzzz
 
Tumia visa card
 
Aliexpress hawana huduma ya paypal unalipa moja kwa moja kwa kutumia visa card yako
 
nikijarbu kulipa nikashaingiza ingiza namba ya kadi kila kitu inafika mahali inaniandikia try again
 
Umeshafungua account aliexpress km huna fungua halafu hakikisha kadi yako inapesa yakutosha, hakikisha hyo product inavigezo ya kuwa shipped Tanzania
 
Mkuu hebu nisaidie zip code au postal code ni zipi kwa Tz?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom