Sheria ya usafirishaji wanafunzi

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Mh Zito ametaka kuwe na sheria ya usafirishaji wanafunzi
Ni jambo jema sana mfano katika shule za kata unakuta wafunzi wanapanga safari wenyewe tena wanakutana nje ya shule na kukodi gari kwenda safari zao
Tufanye yafuatayo
1:Vibali vitolewe trafiki na wakague gari na kuakikisha wanafunga mikanda
2:Safari yoyote ifanyike kwa kupata vibali toka serikali trafiki au Kara
3:Wakuu wa shule ambao wanawaachia wanafunzi kujipangia safari
 
Ajali iliotokea arusha kiukweli tuache lawama jamani Sijui mwendokasi sijui gari imefanyaje mi binafsi naona ni bahati mbaya na inaweza kuwa ni accumulation ya factors nyingi ambazo kuzimanage ilikuwa vigumu, hali ya hewa, Barabara, gari lenyewe na dereva pia uzoefu wake wala hakuna mtu ambaye tunaweza kumlaumu sio shule sio dereva. Tuupokee msiba kwa imani kwamba imetokea.
 
Back
Top Bottom