AJALI SHINYANGA: Basi la Ally's lagongana uso kwa uso na coaster

Mzhokomi

JF-Expert Member
Jul 9, 2014
232
167
Ajali mbaya imetokea asubuhi hii mkoa wa Shinyanga eneo la Kizumbi, Mbuyuni kwenye kona.Basi la la kampuni ya Allys kutoka Mwanza limegongana na Coaster inayofanya safari kati ya Isanzu na Kahama.

Watu zaidi ya 60 wamenusurika kifo huku 26 kati yao wakijeruhiwa vibaya.

12.jpg

11.jpg
 
Uwiiiii...majanga haya mbona yanatukimbiza kama mbio za mwenge
yaani kila kona yanakatiza tu. Watanzania tuombe Mola kuna shida mahala sio bure.
 
Mbona anga jeupe kabisa wakati mvua zinanyesha kiongozi halafu uliangalia hapo chini pakavu kabisa.
 
kulipita utulivu fulani sasa naona kishindo cha ajali kimekuwa kikibwa.

Eeee Mola tunusuru waja wako
 
Safiri hii waandishi WA habari kazi hawana ivi ujasili WA kupiga picha wakati mwenzio kapata matatizo Tena makubwa kama haya unautoa wapi?
 
Back
Top Bottom