Mtoto mwenye ugonjwa wa ajabu wa kula mafuta ya kupikia

Feb 4, 2017
23
45
Ndugu watanzania, huyu mtoto Subira anasumbuliwa na ugonjwa mbaya, hali inayomfanya asiweze kula chochote zaidi ya mafuta na sukari robo, kibaya zaidi analelewa na mama tu baba alifariki, mama hana uwezo wa kumpeleka hospitali.

Najua wapo wasamaria wema na wana uwezo wa kusaidia, akikosa mafuta au sukari basi anabalika rangi na kuwa na maumivu makali.

Olecranon

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,371
2,000
Mwenyezi Mungu ampe siha njema,Kuna watu wana matatizo jamn!
Najua wakubwa wa serikali yetu wanapitia humu jamvini hivyo watamtuma India kwa matibabu. Ila ungetakiwa kuongeza anakoishi na simu ya mama yake ili serikali iweze kumtafuta.
 
REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
2,947
2,000
Kweli ujafa ujaumbika jamani tusaidiane kushare hii tarifa katika a group yetu uko naimani atapata wakumsaidia
 
Nyamanoro

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
648
1,000
Ndugu watanzania huyu Mtoto subira aanasumbuliwa na ugonjwa mbaya.hali inayomfanya asiweze kula chochote zaidi ya mafuta na sukari robo.kibaya zaidi analelewa na Mama tu baba alifariki.mama hana uwezo wa kumpeleka hospitali najuwa wapo wasamaria wema na wana uwezo wa kusaidia.akikosa mafuta au sukari basi anabalika rangi na kuwa na maumivu makali.
Nampa pole sana. Tatizo la mtoto huyu ni miongoni mwa magonjwa ya akili, kuna mmoja kama mnakumbuka alikuwa anakula magodoro,mwingine mapande ya barafu n.k. Apelekwe tu hospital atapata matibabu.
 
mdetichia

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
5,299
2,000
Ndugu watanzania huyu Mtoto subira aanasumbuliwa na ugonjwa mbaya.hali inayomfanya asiweze kula chochote zaidi ya mafuta na sukari robo.kibaya zaidi analelewa na Mama tu baba alifariki.mama hana uwezo wa kumpeleka hospitali najuwa wapo wasamaria wema na wana uwezo wa kusaidia.akikosa mafuta au sukari basi anabalika rangi na kuwa na maumivu makali.
Atakuwa anaukosefu wa madini mwilini aende hospital atapata ufumbuzi
 
Olecranon

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,371
2,000
Ndugu watanzania huyu Mtoto subira aanasumbuliwa na ugonjwa mbaya.hali inayomfanya asiweze kula chochote zaidi ya mafuta na sukari robo.kibaya zaidi analelewa na Mama tu baba alifariki.mama hana uwezo wa kumpeleka hospitali najuwa wapo wasamaria wema na wana uwezo wa kusaidia.akikosa mafuta au sukari basi anabalika rangi na kuwa na maumivu makali. Rais Magufuli mbowe gwajima makonda diamond ali kiba harmorapa harmonize wema lulu majuto kingwendu mwendokasi
Mama ampeleke akaangaliwe kama Ana ugonjwa wa sickle cell anemia. Hayo maumivu inaweza kuwa ni sicke cell crisis. Akila vyakula vya calories nyingi kama sukari na mafuta vinasaidia chembe nyekundu kutokubadilika na kusababisha painful crisis. That's my bet.
 
CleverKING

JF-Expert Member
Apr 24, 2014
8,520
2,000
Mama ampeleke akaangaliwe kama Ana ugonjwa wa sickle cell anemia. Hayo maumivu inaweza kuwa ni sicke cell crisis. Akila vyakula vya calories nyingi kama sukari na mafuta vinasaidia chembe nyekundu kutokubadilika na kusababisha painful crisis. That's my bet.
Safi sana Mkuu, sio mtu anakuja hapa na kutuletea stori za eti hayo ni majini?!
 
Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,367
2,000
Hali ya maisha imekuwa mbaya sana!
Mwanafunzi aishi kwa kunywa Mafuta ya kula.

Kijana Shukuru Kisonga (16) mwanafunzi wa sekondari ya Mgomba wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma anasumbuliwa na tatizo na ili aweze kuwa katika hali ya kawaida basi inamlazimu kila siku anywe mafuta ya kula, sukari na maziwa, asipopata vitu hivyo hali yake ya kiafya hubadilika na kuwa bluu au njano.

tmp_1444-FB_IMG_1494479881488822535443.jpg
 
bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,251
2,000
Atakuwa ni jini huyo..! Zindora huyo(mtoto wa dawa in gwajima's voice)
 
NGOSWE2

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
368
250
Huyu kijana apelekwe kwenye maombi, huo siyo ugonjwa bali ni mapepo ,mashetani na majini.
Hizo ni nguvu za giza, hakuna ugonjwa wa namna hiyo. Ni mapepo tu yanamtesa huyo mtoto.
Ndugu watanzania, huyu mtoto Subira anasumbuliwa na ugonjwa mbaya, hali inayomfanya asiweze kula chochote zaidi ya mafuta na sukari robo, kibaya zaidi analelewa na mama tu baba alifariki, mama hana uwezo wa kumpeleka hospitali.

Najua wapo wasamaria wema na wana uwezo wa kusaidia, akikosa mafuta au sukari basi anabalika rangi na kuwa na maumivu makali.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom