Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Kwa kipindi kirefu nipo kwenye utafiti nikifanya utafiti wa kuchunguza magroup ya wasap na Instagram wanao sema wanajiuza
Nilichukua namba zao na kuanza kuzifuatilia
1:Uwaga wanasema ukitaka Malaya tuma eneo ulilopo na tutakutumia picha zao umchague uliyempenda na utume pesa
Sasa Mimi nikaanza kuchagua maeneo tofauti Temeke,Zanzibar,iringa,Dodoma na sehemu nyingine
Cha ajabu Picha za Temeke zinafanana na Iringa ,Pemba na Zanzibar
Ushauri
Hawa watu ni matapeli pia wengine ni wanaume usitume pesa yako
Ushauri
TCra zoezi LA kusajiri simu liliendeshwa ovyo aya ndio matunda yake