Orodha ya taasisi cheti cha kidato cha nne - Incomplete

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
628
780
Nimestuka haya majina maana yake hawakukusanya cheti cha form four. Please nashare ili ukiona jina lako uwasiliane na wahusika isije ikafika tar 15 May

Mpaka Maprof wapo!! Huwa nasikia maprof wengi cheti cha form 4 ni issue
 

Attachments

  • Taasisi_INCOMPLETE.pdf
    555.4 KB · Views: 79
Back
Top Bottom