Kwa wana CCM prof. Safari na Salum Mwalimu hawana sifa kutuwakilisha EARL!!!

bombadier

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
438
304
Wabunge wa ccm ni watu gani na serikali yao wamethibisha ubashite wao na namna ambavyo ni wamekosa weledi wa kisiasa na kwamba kwao maslahi ya nchi hii si kitu muhimu hata kidogo!!! Hili ni funzo kwa wapiga kura , kwa walilolifanya wabunge wa ccm kutujima fursa ya kuwakilishwa na watu makini EARL ni ishara usaliti kwa taifa na ukosefu wa uzalendo kiwango cha juu!!! Ongera kwa wabunge wa CCM waliothubutu kuwapigia kura akina prof Safari na Salum Mwl!!! Kwa watanzania wengi hawa jamaa walifaa zaidi japo na wanawake walikuwa na sifa si haba!!!! Lakini nina amini hili lilifanyika makusudi kukomoa upinzani!! I,m not proud to a Tanzanian( Kuna fahari gani kuwa mtanzania , kwenye nchi ambayo unafiki, ubinafsi, usaliti ni sifa ya watawala?)
 
Kubenea
Sugu
Prof J
Hawa ndio aina ya wabunge inayotuletea chadema wakati wa uchaguzi...???
 
Vimtu vya UKWAWA mna wadudu vichwani kweli, CCM ndo waloteua hao wagombea na kuwaleta bungeni wagombee? Ina maana walionekana wanaweza ndo wakaletwa kugombea kwa kuaminiwa na chama chao
 
Ninaamini CHADEMA walipendekeza majina huku wakiwa na UHAKIKA kuwa WOTE WANA UWEZO SAWA KUTUWAKILISHA, hivyo sioni TATIZO LOLOTE, kwa hao waliochaguliwa,labda CHADEMA watuambie kuwa walipeleka WENYE UWEZO na MABOYA kwa lengo la kuwapa NAFASI KUBWA WENYE UWEZO KUCHAGULIWA, ambapo imekuwa tofauti. !! Sasa FANYENI KAZI!
 
Back
Top Bottom