Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Habari wakuu, kuna mvua kubwa inayonyesha Bukoba, mvua hiyo imepelekea kuharibika kwa miundombinu ya barabara kuu inayoingia na kwenda mikoani eneo la Kemondo. Kwa wale wasafiri wa kwenda mikoa ya Kanda ya ziwa ambao magari yao yanachelewa kutoka ''MWAFAA'' mrudi mkapande meli.
Na wale wa Wilaya jirani kama Muleba, Biharamulo na Ngara itabidi muwe wapole mpaka miundombinu iimarishwe.
Na wale wa Wilaya jirani kama Muleba, Biharamulo na Ngara itabidi muwe wapole mpaka miundombinu iimarishwe.