Mtanzania Anatafutwa kwa utapeli mkubwa Afrika Kusini

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,191
157,351
∆. Kamtapeli mpenzi wake
∆. Alimzuga kwa kubadilisha magari ya kifahari
18157141_239457269863176_7433696841904468075_n.jpg

This Tanzanian man scammed a local woman of millions please lets help her. He is wanted by the Mayville Police, there is a fraud case opened. He drives around in fancy cars and the number plates don't even belong to these cars. LETS SHARE and help out so he can be captured.



Source:-
 
wekeni na majina yake, maeneo anayotembelea au taarifa zake zngine iwe rahisi kutambulika na kukamatwa
 
Watanzania tunaogopwa sana ukanda wa africa kusini wote, anzia msumbiji mpaka huko chini
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Inabidi pia wakianza kupewa kichapo huko south tusiwe tunawatetea. Maana ishu kama hizi ndiyo hupelekea vichapo
Mbona hamuwapi kichapo wahindi na wanaija hapa kwenu? kama hujui ujanja-ujanja (kupitia rasilimali za congo DR) ndo umeijenga chigali vile ilivyo, nyie endeleeni kufuata mafundisho ya mababa parokoo mnaishia kulia lia ajira za umma.

NB: Mtu akizubaa apigwe tu, hakuna namna, wakina Prince wametupiga miaka 10 mfululizo na sasa wanajichekesha tu huko Insta.
 
Katika hali ya kawaida wizi au kuchukua mali isiyokuwa ya kwako sio jambo lenye kufurahisha au kuchekelea........

Wakati unachekelea mwenzie kuibiwa mali zake kwa kuwa tu si mtu wa taifa lako......ingia kwenye viatu vya aliyeibiwa ndio utaona uchungu wake......

Alafu vile vile wizi au utapeli hauna mipaka.....inawezekana wewe unayechekelea au unayemtukana mtoa mada kwa kuleta habari hii ukawa ni mhanga wa huyo aliyetapeli baada ya kumaliza kile alichokitapeli huko.....!!!

Umoja na mshikamano wa WATANZANIA haupo kwenye kutetea na kuficha uhalifu kwa kuwa uhalifu hauna kabila wala sura.....ni mara ngapi wazazi wanawatetea vijana wao kuhusu wizi na mwishowe wanakuja kuibiwa na wao wenyewe.......!!!!

Kama kweli ametenda kosa hilo akikamatwa sheria ichukue mkondo wake.....
 
Back
Top Bottom