(Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should not apply)
Habari zenu wakuu wa jamvi ni matumaini yangu kuwa wengi kama sio nyote ni wazima kwa nguvu za...
uhakiki wa umri kwa watumishi wa umma ni jambo ĺa muhimu na kamwe lisipuuzwe!!
naamini kuwa mhe. Rais JPM hakutamka jambo hilo kwa bahati mbaya, ni wazi kabisa kuna tatizo/ matatizo kama...
Imekaaje hii wana JF,
Wengine wanasema watatolewa wote lakini sio wao, fikria kuna watu kibao walopoteza kazi na wengine sasa hivi wamechanganyikiwa basi kama kuwasamehe angewasamehe wote...
Kuna kampeni ya jeshi la polisi kwamba usiendeshe gari ukiwa umelewa
Sasa nawaibia siri maafande wangu,wale woote wanaokaa kwenye mabaa na magari yao wamepaki nje,asilimia 90 huwa wanakunywa...
Wakati nipo nyunbani hapa karibu na Makoye lodge nikiwa zangu naweka oil kwenye pikipiki yangu ghafla nikashuhudia ugomvi mkubwa maeneo ya Makoye lodge.
Nikajaribu kujisogeza ili kupata mawili...
SIRI mpya ya ajali iliyotokea wiki iliyopita na kusababisha vifo vya wanafunzi 33 wa darasa la saba katika Shule ya Msingi ya Lucky Vincent, walimu wao wawili na dereva mmoja wa basi, imefichuka...
Ilikuwa ni wiki ya tukio la kukokotwa na trekta (kilimo kwanza) kwa ndege ndogo (mbovu?) kwenye barabara ya kawaida ya magari nk nje ya uwanja wa ndege
Mwanzoni taarifa zilisambaa kwamba...
Habari wana jf?
Nina mdogo wangu anayesoma mwaka wa tatu katika chuo hiki ambaye yeye pamoja na wenzake zaidi ya 30 wa mwaka huo walizuiliwa kufanya test kwa sababu ya kupungukiwa ada kwa...
Naomba kutoa wito wangu kwa wizara ya maji kwamba ni wakati sasa ifikirie kuchukua maji mto rufiji kwa ajiri ya wilaya za Ilala, Temeke, Mkuranga, Rufiji, Ikwiriri, na maeneo jirani. Nasema haya...
Nimekuwa nikijiuliza sana swala hili, labda watunga sera hawajaliona hili nimeenda zaidi ya Mara kadhaa vituoni na ninakuta DIRISHA LA DAWA PISHA MZEE APITE' but mpaka anapopata dawa alichukua...
Raia sita wa Kenya ambao ni waandishi wa habari wamekamatwa visiwani Zanzibar kwa kosa la kuingia katika visiwa hivyo bila ya kuwa na vibali halali kama Viza.
- Hata hivyo Viza si lazima kwa raia...
Habari wanajukwaa
Naomba msaada kwa wataalamu wa namna ya kupata ufadhili kwa masomo ya masters(project management) au (Maswala ya utafiti tu) nje au ndani ya nchi.
Nahitaji kusoma zaidi ili...
An NSA Cyber Weapon Might Be Behind A Massive Global Ransomware Outbreak
Thomas Fox-Brewster , FORBES STAFF
May 12, 2017 12:10 PM 1
A huge ransomware outbreak has hit NHS hospitals, amongst [+]...
Tunaomba DAWASCO waturudishie mradi wetu ushirika wa watumia maji Salasala.
Huduma ya upatikanaji wa maji ilikuwa ya uhakika. Sasa hivi huku salasala Kilimahewa maji hayapatikani, yanatoka mara...
Hellow wakuu, natumaini mu wazima wa siha njema.
Wakuu kila siku asubuhi nielekeapo kwenye mihangaiko yangu ya kimaisha huwa napanda daladala. Kutoka ninapoishi mpaka ninaposhukia ni umbali wa...
Mkuu wa mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa leo amemtembelea Mzee Ambikilile Panja na familia yake katika kijiji cha Ileje.
Wiki moja iliyopita, Kwanza TV ilikuwa chombo cha habari cha...
Nyani anaposhindwa kuona........!
Tunatapishwa na ya Oman lakini hatuchefushwi na ya kwetu.
....................................................................
Baba mkubwa aliyetajwa kwa jina...