Habari wanajukwaa
Naomba msaada kwa wataalamu wa namna ya kupata ufadhili kwa masomo ya masters(project management) au (Maswala ya utafiti tu) nje au ndani ya nchi.
Nahitaji kusoma zaidi ili kupanua wigo wa kuweza kupata ajira hasa katika "international organisations"
Nimemaliza degree ya kwanza (2016),
Sina uwezo wa kusoma hyo masters kwa kujilipia mwenyewe nahitaji wafadhili.
Sina ufahamu wa maswala haya japo natambua kuna serikali na vyombo binafsi vinatoa ufadhili huo.
Nahitaji msaada wenu nyote hasa wenye uwelewa wa maswala haya muhimu.
Natanguliza shukrani kwa wote.
wiser1