Waandishi wa Habari kutoka Kenya wakamatwa Visiwani Zanzibar kwa kuingia bila ya Viza

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Raia sita wa Kenya ambao ni waandishi wa habari wamekamatwa visiwani Zanzibar kwa kosa la kuingia katika visiwa hivyo bila ya kuwa na vibali halali kama Viza.

- Hata hivyo Viza si lazima kwa raia wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo Kenya za Zanzibar ambayo ni sehemu ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ni wanachama.


======

Six Kenyan journalists were arrested in Zanzibar on Thursday for not having visas despite the lack of this requirement.

They were denied entry after landing at about 10am for a drone camp training.

A trainer, who spoke to The Star by phone, confirmed the arrests but said they did not know what would happen next.

"They are still with the officers. We are worried for them," she said.

Reached for comment, East African Affairs PS Betty Maina said they were not aware of the incident but would look into it.

"There is no requirement for visas to Zanzibar," she noted. "We are checking with our teams."

A visa is not required as Zanzibar is part of the East Africa Community.

Source: The Star Kenya
 
Hapo Ni Kuwa Kuna Mambo Wamefanya Kinyume Cha Taratibu Za Nchi Waliopo Na Bila Idhini.
 
Raia sita wa Kenya ambao ni waandishi wa habari wamekamatwa visiwani Zanzibar kwa kosa la kuingia katika visiwa hivyo bila ya kuwa na vibali halali kama Viza ingawa kwa nchi za Afrika Mashariki si lazima kutumika kwa Viza kwa anayetaka kuingia katika nchi mwanachama.

Mpaka sasa haijajulikana nini itakuwa hatma ya wakenya hao

======

Six Kenyan journalists were arrested in Zanzibar on Thursday for not having visas despite the lack of this requirement.

They were denied entry after landing at about 10am for a drone camp training.

A trainer, who spoke to The Star by phone, confirmed the arrests but said they did not know what would happen next.

"They are still with the officers. We are worried for them," she said.

Reached for comment, East African Affairs PS Betty Maina said they were not aware of the incident but would look into it.

"There is no requirement for visas to Zanzibar," she noted. "We are checking with our teams."

A visa is not required as Zanzibar is part of the East Africa Community.

Source: The Star Kenya
Lakini si walisema ni sehemu ya nchi yao labda wameja kuweka mipaka
 
Swali zuri. Yes east africa tunaingia kwa visa. Ukifika mpakani passport yako inapigwa muhuri wa visa (visitors pass) ya mwezi mmoja. Visa free labda kwa makubaliano kati nchi mbili husika.

Does not apply to East African Community member States.
 
Hawa watakuwa wamekuja kufanya aerial photography bila kuomba kibali toka wizara ya maliasili na mamlaka zingine za SMZ ni lazima ziwaruhusu kufanya hivyo.
 
Sijakuelewa fafanua zaidi.

Raia wa nchi nje ya East Africa wanapaswa kuapply visa ili mradi wapate ruhusa ya kuingia nchi yoyote huku Africa Mashariki...

Mfano: Wazungu huapply visa kabla kusafiri.

Visa pia hupatikana kwenye "ports of entry" kama vile airport... Aliyesafiri bila kuapply kule alikotoka, hutumia fursa hii kuapply.
 
Back
Top Bottom