Tareeq
JF-Expert Member
- May 3, 2010
- 831
- 408
Nimekuwa nikijiuliza sana swala hili, labda watunga sera hawajaliona hili nimeenda zaidi ya Mara kadhaa vituoni na ninakuta DIRISHA LA DAWA PISHA MZEE APITE' but mpaka anapopata dawa alichukua muda gani mapokezi huku akisukumwa na vijana na barubaru wenye nguvu walio nguvu na vitambulisho kwa sababu tu mimi MZEE nilikatwa mida na makodi kadhaa kijana akasoma akajapata kazi, I.D ya NHIF kama mwanangu au kama mwajiriwa Sara tukunapo mapokezi foleni kukabidhi kadi receptionist Anamind vijana wenzie, mkongwe unakaa mpaka utaiona rangi ndiyo uje uitwe. Ipo shughuli!
PLEASE WIZARA YA AFYA AGIZENI WAZEE WATENGEWE MAPOKEZI YAO PEKE YAO
PLEASE WIZARA YA AFYA AGIZENI WAZEE WATENGEWE MAPOKEZI YAO PEKE YAO