DAWASCO TURUDISHIENI MRADI WA USHIRIKA WA WATUMIA MAJI SALASALA.

mwanamapinduko

Senior Member
Jan 24, 2011
178
41
Tunaomba DAWASCO waturudishie mradi wetu ushirika wa watumia maji Salasala.
Huduma ya upatikanaji wa maji ilikuwa ya uhakika. Sasa hivi huku salasala Kilimahewa maji hayapatikani, yanatoka mara moja kw wiki siku ya jumapili. Tena jumapili nyingine hakuna, kama leo tarehe 14/05/2017 maji hakuna.
Hebu tujulisheni au watendaji wametumbuliwa vyeti vya kufoji?
 
Back
Top Bottom