Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 299,547
- 751,983
Mwanzoni taarifa zilisambaa kwamba ilishindwa kutua uwanjani kwenye barabara yake maalum hivyo kutua barabara ya lami inayotumiwa na wote
Shukrani za pekee kwa Salary Slip alikuwepo eneo la tukio na kutoa ufafanuzi
Ufafanuzi wake ni kuwa Ilikuwa ni ndege mbovu ya jeshi na Ilikuwa inahamishwa kwa kuvutwa na trekta......!!!!

Mbele hakukuwa na gari la kimulimuli, nyuma pia halikuwepo.. Kuashiria hatari... Si pembeni wala popote kulikuwa/kulibandikwa alama ya HATARI ama TAHADHARI... hakukuwa na escort ya police







magari yanayobeba mizigo makubwa na madogo wanajua adha wanayopatishwa barabarani na matrafiki kunapokuwa kuna shida ndogo sana ya kiusalama ambayo haikuzingatiwa.... Msamaha wake ni buku tano kiwango cha chini kabisa ama adhabu ya notification Tsh 30000

Tunapaswa kupimwa tena upstairs kwenye medulla oblangata kama hakuvuji