Kwanza TV
Member
- May 2, 2017
- 33
- 69
Mkuu wa mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa leo amemtembelea Mzee Ambikilile Panja na familia yake katika kijiji cha Ileje.
Wiki moja iliyopita, Kwanza TV ilikuwa chombo cha habari cha kwanza kufika kijijini hapo na kuandaa kipindi maalum kuhusu mzee huyu anayeaminika kuwa mtu mwenye umri mkubwa zaidi nchini na hata duniani
Mkuu wa Mkoa leo amemtembelea mzee huyu na amekabidhi kiti cha magurudumu kipya na kadi 2 za Bima ya Afya kwa ajili ya Mzee Panja na Mke wake Bi. Atusajigwe Mshani.
Mkuu wa wilaya ya Mbozi pamoja na uongozi wa mkoa waliambatana na Mkuu wa Mkoa katika hafla hii fupi.
[HASHTAG]#KwanzaHabari[/HASHTAG]