Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu salaam, Naandika Uzi huu Kwa uchungu na hasira baada ya kuachiwa mida hii kutoka selo Central. Ni hivi, mimi napiga mishe zangu tu sio muajiriwa wa serikali wala nini.. Sasa jana mida ya...
32 Reactions
163 Replies
13K Views
Zoezi la uhakiki wa vyeti umeisha.Je wale tuliopandishwa madaraja mwaka jana mwezi wa tatu lakini hatukurekebishiwa mishahara ili kuruhusu uhakiki tutarekebishiwa lini mishahara yetu?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kumetokea upepo mkubwa wa dakika chache huko Nyarugusu njia nne Unguja-Zanzibar ambao takriban umeathiri Nyumba mia tatu(?). Idadi ya nyumba sina uhakika lakini ni zaidi ya sabini. Allah atupe...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Mods naomba msiunganishe hii: Mheshimiwa Rais amewahi kutoa kauli tata nyingi sana ila kuna hizi mbili zilinishangaza sana na zimeanza kuleta matatizo na zitaleta sana Ile kauli ya kwamba kuwapa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida iliyotokea mapema hii leo jijini Dar es salaam kwa kitendo cha cha aliyekuwa Naibu Waziri Wizara ya Fedha katika utawala wa awamu ya nne. Adam Malima kutishiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahani wana jamvi, Ukiweka mada yoyote hapa jF isiyo ya ngono, mapenzi, au udaku haipati wateja. Lakini ukiweka mada inayoendana na hayo niliyo yataja, utashangaa inavyopata washabiki. Je...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
HABARI YA SIKU MUJUKUU WANGU NAKUFAHAMISHA KUWA NIMESHARUDI KUTOKA ZAMBIA NILIKOKWAMBIYA NAPELEKA DAWA YA KISUKARI KUMBE JITAIDI UJE UCHUKUWE ILE DAWA YA MIGUU NAILE YA BIASHALA IPOTAYARI...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Nataka kufahamu Rujewa na Ludewa ni Wilaya mbili ambazo zipo Mkoa gani?
0 Reactions
42 Replies
10K Views
Hii ni kuhusu vitabu vilivyotolewa kuwa na makosa
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Saa hizi moja na nusu jioni ya leo tarehe 15 May 2017 najaribu kufungua www.utumishi.go.tz haifunguki. Nauliza je inapatikana vipi?.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Taarifa hii nilipewa(kama wiki mbili zilizo pita) na rafiki yangu ambaye yupo mkoani Mara aliekuwa akifanya mchakato wa kuchukua mkopo ktk moja ya tawi la bank hii mkoani humo(jina la wilaya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kamishna wa Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za Kulevya nchini, Rogers Sianga amesema wamekamata zaidi ya lita 6494 za kemikali bashirifu zinazoweza kutengeneza dawa za kulevya mtaa wa kipepeo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Binti mmoja anayeishi mtaa wa Ntungamo Kata ya Buhembe, Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Latifa Vedasto anadaiwa kumnyonga mtoto wake aliyejifungua siku tatu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pamoja nayo msiba mzima uligharimu takribani karibia ml.200 ambazo zilitokana na michango ya wasamaria wema. "Uongozi unaoacha alama"
15 Reactions
126 Replies
13K Views
naomba nieleweshwe kabla sijaenda kukata nimeskia watu wengi wanasema kama una bima ndogo gari ikipata ajali hulipwi kitu,sasa ni ya nini na tunakata ili iweje?
2 Reactions
10 Replies
8K Views
Waajiri mtuvumilie uku magari hakuna zaidi ya dakika 20 hakuna gari toka kivukoni kupitia Ubungo; mnategemea nini! Mnaboa sana.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Salaam... Je, unajua kuwa kampuni ya Apple (inc) ina market value kubwa kuliko pato la taifa la nchi kama Saudi Arabia. Si hivyo tu, pia ni kubwa kuliko pato la taifa la nchi yeyote ile barani...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Wakuu ktk pitapita zangu naona jamaa wamepungua sana mabarabarani. Hivi kuna mtu kaliona hili? na km ni kweli kuna sabab zp?
0 Reactions
4 Replies
945 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…