Picha: Rais Mstaafu Kikwete akikagua shamba lake la mahindi kijijini Msoga

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,067
10,936
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete akikagua shamba lake la mahindi mapumzikoni Kijijini Msoga Leo

Jk1.jpg
JK2.jpg
JK3.jpg
 
Mbona watu walikuwa wana mdiss sana JK harafu leo hiiii wana msifia sana na kumuona alikuwa jembe.
Maana hapo awali akiwa madarakan walisema kajiimbikizia mara mashamba ya mananasi mara hivi , but leo hii yote yamesahaulika.

Binadamu noma sana . kweli bora ya jana kuliko leo.
 
Back
Top Bottom