Wadau,
Mimi siku zote najiuliza kuwa kwa nini Russia hasa huyu Vladimin Putin alimsupport Sana Trump ili ashinde uchaguzi wa Marekani na kumponda bi Hilary Clinton, huyu Putin lengo lake kubwa lilikuwa nini, maana bado naona Putin na Trump bado kuna mambo mengi hawaivi, k.m mgogoro ea Syria, North Korea( hapa mrusi alikuwa tayari kumlinda dogo asivamiwe na marekani), sasa sielewi kwa nini huyu Putin alimsupport Trump.